Jinsi ya kuintall app ambayo haiko playstore kwenye simu ya android

Jinsi ya kuintall app ambayo haiko playstore kwenye simu ya android

Sunday, September 22, 2019, September 22, 2019
Jinsi ya kuintall app ambayo haiko playstore kwenye simu ya android 

Allowing app installs from Unknown Sources in Android
Ruhusu kusanikisha App toka nje ya playstore 

As part of the Android Operative system, there is a restriction that blocks installing applications outside the Google Play Store.
Kama sehemu ya mfumo wa android,kuna kizuio kinachozuia kusanikisha app zinazotka nje ya play store.
If you have a phone running Android Oreo or higher, you won’t see a setting to allow installation of apps from unknown sources. Instead, Google treats this as an app permission and you’re asked each and every time you want to install an app you got from Other source.
Ikiwa unatumia simu ya android toleo la Oreo au zaidi,hutoona maelekezo ya kuruhusu kusanikisha app toka masoko mengine nje ya play store.Kwa matoleo mengine Google hufanya hivyo kama kuipa app ruhusa na utaulizwa kila mara unahitaji kusanisha app uliyoipata toka vyanzo vingine.
1.But, what should you do to proceed with the installation?
1.Lakini,unahitajika kufanya nini ili kuendelea na usanikishaji?
2.To allow app installs follow this steps:
2.Kuruhusu usanikishaji wa app fuata hatua hizi:
3.Navigate to Setting > Security.
3.Nenda kwenye Setting kisha Security
4.Check the option "Unknown sources".
4.Weka tiki sehemu ya "Unknown sources".
5.Tap OK on the prompt message.
5.Gusa OK katika ujumbe wenye kujitokeza
6.That’s all, now you can try again to install the Application.
6.Ni hivyo tu,sasa unaweza kujaribu kusanikisha app yako.

TerPopuler