ZINGATIA HAYA ILI KUPATA MOVIE MPYA NA MIENDELEZO

ZINGATIA HAYA ILI KUPATA MOVIE MPYA NA MIENDELEZO

Sunday, April 28, 2019, April 28, 2019
HABARI ZENU WADAU WA SAMSTUDIO APP...TUNAYOFURAHA KUKUHUDUMIA NA TUNAJITAHIDI KUKUPATIA KILE KILICHOBORA.NIMASIKITIKO YETU PALE TUNAPOSHINDWA KUKUPATIA MOVIE AU TAMTHILIA FULANI (NOT AVAILABLE IN OUR APP) ILA TUNAJITAHIDI KUWEKA MOVI KILA SIKU USIKU NA MCHANA,NALO HILI LINAHITAJI MUDA HIVYO TUNAOMBA RADHI KWA NAMNA YOYOTE TUNAPOWAKWAZA.

TUMEKUWA TUKIPOKEA MALALAMIKO AMBAYO TUMEKUWA TUKIYASHUGHULIKIA KWA KADIRI TUWEZAVYO NA INAPOSHINDIKANA HUWA NI MASIKITIKO KWETU.TUNAPENDA KUWASHUKURU KWA KUSHIRIKI KWENU NA PONGEZI ZENU ZINATUTIA MOYO KUENDELEZA JAHAZI.TUNASISITIZA MUENDELEE KUTOA MADUKUDUKU YENU IKIWA NI PAMOJA NA KU RATE APP HII PLAYSTORE,MLIOKWISHA KUFANYA HIVYO TUNAWASHUKURU.

TUNAOMBA KUTOA MAELEKEZO KUTOKANA NA MALALAMIKO TULIYOKUWA TUKIYAPOKEA.

1.MOVIE QUALITY UBORA WA VIDEO
KUMEKUWA NA MALALMIKO JUU YA UBORA WA VIDEO LAKINI WALALAMIKAJI WENGI WAMEKUWA WAKILALAMIKIA PASI NA KUFAHAMU KILE WANACHOLALAMIKIA.SISI TUMEKUWA TUKIWEKA MOVIE NA SEASON KATIKA UBORA WA SD NA HD KATIKA FOTMAT (AINA) ZA 3GP,MP4,MKV NA AVI.HIZI ZOTE NI FORMAT WALA HAZIHUSIANI NA UBORA WA VIDEO.TUNAMAANISHA 3GP YAWEZA KUWA BORA KULIKO MP4,MKV,AVI NK....SIMU NYINGI ZA SMATPHONE ZINAREKODI VIDEO KATIKA FORMAT YA 3GP NA MP4 KATIKA UKUBWA WA RESOLUTION  TOFAUTI TOFAUTI WALA FILE KUWA 3GP HAIMAANISHI NI MBAYA ILA NI FORMAT TU.

i)STANDARD DEFINITION (SD) 3GP
176X144 H263 INAFAA KWA SIMU NDOGO ZA BATANI VIOO VIDOGO
352X288 H263 INAFAA KWA SMARTPHONE
176X144 MPEG4 INAFAA KWA SIMU NDOGO ZA BATANI VIOO VIDOGO (VIDEO NA AUDIO VIMEBORESHWA KULIKO H263)
352X288 MPEG4 INAFAA KWA SMARTPHONE (VIDEO NA AUDIO VIMEBORESHWA KULIKO H263)
SISI TUMEKUWA TUKIWEKA VIDEO ZA 3GP 352X288 MPEG4 HIVYO ZINAFAA KWAMATUMIZI YA SMARTPHONE KAMA SD (STANDARD DEFINITION).

ii)HIGH DEFINITION (HD) MP4,MKV,AVI
640X360 MPEG4 INAFAA KWA SMARTPHONE TV NA LAPTOP INCHI 24
640X360 XVID INAFAA KWA SMARPHONE TV NA LAPTOP INCHI 24 (IMEBORESHWA)
ZINGATIA MOVIE ZENYE PIXES (MP)NYINGI HUWA NA NA SIZE KUBWA (MB/GB)

2.MOVIE KURUKA
MOVIE KURUKA KIFUPI NI KWAMBA IYO MOVIE/KIPANDE (EPISODES) HATUNA NA IKATOKEA TUKAKIPATA BASI TUNAKIWEKA.KUNA MOVIE HASA IZI MPYA ZINAZOENDELEA KUTOKA KILA TUNAZIWEKA KUANZIA HAPO ZILIPOFIKIA KUTOKA YAANI HIZI ZINAWAFAA WALE WANAOFUATILIA MIENDELEZO MANA WALISHAZIONA ZAMWANZONI HIMA KATIKA CD AMA FLASH AMA ONLINE.MARA NYINGI MAANDISHI YENYE WEUSI HAPO INAMAANISHA HAMNA LINK YAKUPAKUA ILA TUMEIWEKA NO HUSIKA ILI UJUE HATUNA SIO KWAMBA TUMERUKA KIMAKOSA.
ZINGATIA MAANDISHI MEUSI HAPO MOVIE HANA NA MAANDISHI YENYE RANGI KIJANI MOVIE IPO HIVYO HIVYO USITUULIZE KUHUSU MOVIE ISIYOKUWEPO BALI TUJUZE KWA MOVIE ILIYOKOSEWA NAMBA KUWEKWA MF PAMEANDIKWA SAM 1 UKIPAKUA UNAKUTA SAM 2 TAFADHALI TUJUZE TUREKEBISHE.

3.MOVIE KUGOMA KUDOWNLOAD
KUNA TAARIFA ZA WATU KUSHINDWA KUPAKUA MOVIE HUSIKA HASA ZILE ZA SAVER ZA GOOGLE DRIVE AMBAZO NDIO NYINGI HD NA ZINA MB KUBWA KIASI.HAPA TUNAWASISITIZA MZINGATIE KUSOMA KUPITIA KITUFE CHA JINSI YA KUDOWNLOAD KILICHO JUU BAADA YA PICHA YA MOVIE HUSIKA HUKO UTAPATA MAELEKEZO YOTE.TUNASISITIZA KABLA HUJAANZA KUPAKUA MOVIE HAKIKISHA UNA MB ZAKUTOSHA KULINGANA NA FILE HUSIKA UNALOTAKA KUPAKUA.HAKIKISHA MTANDAO UKO VIZURI HASA 3G,H,H+ NA 4G.HAKIKISHA SIMU YAKO INA NAFASI YAKUTOSHA KUWEKA FILE HUSIKA.IKATOKEA BADO INASUMBUA BASI TUNAKUSHAURI U COPY LINK KISHA UKAIPEST KWENYE APP YA UC BROWSER (TUNAPENDEKEZA HII SABABU IKO HARAKA KWENYE KUDOWNLOAD ILA UNAWEZA KUTUMIA INGINE KAMA OPERA NK)

4.KUTOKUPATA MIENDELEZO NA MOVIE MPYA
HII INATOKA NA KUTUMIA APP YA ZAMANI YA TOLEA LILIKWISHA KUONDOLEWA.SULUHISHO LA HILI NI KUFANYA UPDATE YA APP NA UHAKIKISHE APP INAKUWA IMEGAWANYA MOVIE KATIKA AINA 20 YAANI ZOTE UZIONE KATIKA MPANGILIO HUSIKA.
1AFRICA
2KIHINDI MJINI
3KIHINDI ZAMANI
4KIHINDI ZAKUTISHA
5KOREA MJINI
6KOREA ZAMANI
7KIZUNGU MJINI
8KIZUNGU ZAMANI
9KIZUNGU ZAKUTISHA
10CHINA VS JAPAN
11PHILIPINO
12CHINA
13THAILAND
14JAPAN
15SINGLE KIZUNGU
16SINGLE KIHINDI
17SINGLE KICHINA
18SINGLE ANIMATION
19HAZIJATAFSIRIWA
20HADITHI

IKATOKEA APP BAADA YA KU UPDATE BADO HAIJAWA KATIKA NAMNA IYO BASI ITOE APP KWENYE SIMU YAKO (UNSTALL) KISHA NENDA PLAY STORE TAFUTA SAMSTUDIO AU SAM STUDIO AU SEASON ZILIZOTAFSIRIWA KISHA BAADA YA KUIONA INSTALL KWENYE SIMU.HAKIKISHA APP IKO NA LOGO HII HAPA CHINI
MUONEKANO WA APP BAADA YA KU UPDATE KAMA ILIVYOELEKEZWA INAKUWA NA MUONEKANO WENYE CATEGORIES HIZI (APP YA ZAMANI HAZIONEKANI HIZI)







5.MATANGAZO YALIYO CHINI YA APP NA YANAYO POP
HAYO NDIO MALIPO YETU BAADA YA KUKUHUDUMIA HIVYO MYAVUMILIE TU NA IKATOKEA UMEPEDA TANGAZO USISITE KUBOFYA UTAKUWA UMETUPA $ KADHAA.

6.YAMOYONI
IKIWA UMEFURAHIKA NA HUDUMA HII BASI USISITE KUSHARE NA MARAFIKI ZAKO
KWA KUPITIA KITUFE ICHI


IPE NGUVU APP IZIDI KUWA JUUUUUUUU KWA KUIPA NYOTA 5 NA USEME CHOCHOTE KUPITIA KITUFE ICHI


KWA LOLOTE NICHEKI 
WHATSAPP
SMS 0713055107
Asanteni By SAM

TerPopuler