App sasa iko na movie nyingi kiasi zile za zamani hazinekani kwenye app kutokana na limit iliyowekwa (hii inamanufaa kwaajili ya wepesi wa app na simu yako).App inapopakuliwa huwa iko na default ya limit 250 ila waweza kuongeza hadi 500...Kumbuka kwa kuweka limit ya 500 itaongeza idadi ya movie ila sio zote zaweza kuonekana kwa wakati mmoja bali utahitajika kutumia search au kitufe cha Orodha Ya Movie Na Season Zilizoko (kinaendelea kuorozeshwa movie) kilicho kwenye kila ukurasa wa movie.


