Ongeza idadi ya movie kuonekana kwenye app yako

Ongeza idadi ya movie kuonekana kwenye app yako

Wednesday, July 31, 2019, July 31, 2019
Kuna malalamiko ya kutokuonekana kwa movie ambazo hapo awali zilikuwepo.Tatizo hili lipo kwa baadhi tu ya movie tulizitoa ila nyingi zipo tatizo ni kukosa nafasi yakuonekana kwenye app hasa zile za muda mrefu.Bado tunaendelea kukirekebisha kitufe cha Movie Na Season Zote Zilizoko na kitakapokuwa tayari kitafanya kazi ili kuwarahisishia kutafuta movie na season zote zilizokuwepo online.Fuata mtiririko huu wa setting ili kuongeza idadi ya movie na season kwenye app yako

1


2
3


TerPopuler