Habari...Nimeona nikusogezee huduma hii karibu yako.Nipo kukuagizia bidhaa toka soko la China kwa bei poa.Nimeweka baadhi ya bidhaa hapa ila waweza agiza zozote uzitakazo.Bidhaa zote zinatoka soko la china Aliexpress kwa bidhaa za rejareja na Alibaba kwa bidhaa za jumla.Napokea oda na kuagiza bidhaa kuanzia 50,000/= kwa wateja walio nje ya morogoro yaani watahitaji kurumiwa mikoani.Tunapokea oda kuazia 10000 kwa wateja wa Morogoro na bidhaa utachukulia ofisini kwetu kati ya hizi..MADAWA,FOUR WAY (njia ya kichangani) au ofisi yetu mpya ya MJI MPYA SOKONI.Kwa bidhaa za rejareja toka soko la aliexpress zinachukua siku 10-15 kufika,bidhaa za jumla toka Alibaba zinachukua siku 30-40 kwa usafiri wa meli na siku 7-10 kwa usafiri wa Ndege hivyo itakulazimu kusubiri kwa siku tajwa.Masuala yote ya Usafiri na Kodi yamejumuishwa kwenye gharama hivyo baada ya wewe kulipa nikusubiri tu mzigo.Bidhaa zote ni Original na Tuko na uaminifu wakutosha.Mizigo yote itafikia ofisi kwetu Morogoro kisha kukutumia kwa mlio nje ya Morogoro,mlio Morogoro mtachukulia ofisini kwetu.
KESU 2.5" External Hard Drive Disk
120GB-60,000/=
160GB-65,000/=
250GB-75,000/=
320GB-85,000/=
500GB-110,000/=
750GB-125,000/=
1TB-150,000/=
2TB-235,000/=
80GB-45,000/=
120GB-50,000/=
160GB-55,000/=
250GB-60,000/=
320GB-65,000/=
500GB-75,000/=
750GB-95,000/=
1TB-125,000/=
2TB-200,000/=
1TB-165,000/=
2TB-230,000/=
500GB-130,000/=
1TB-170,000/=
2TB-240,000/=
3TB-320,000/=
4TB-380,000/=
Tutaongeza bidhaa kadiri ya uhitaji
SMS 0713055107
By SAM